Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

1 4 6 /

K U T A F S I R I B I B L I A

C. Tazama Mtazamo na Sauti ya Mwandishi .

1. Mwandishi anamaoni gani kuhusu matendo na maneno ya wahusika?

2. Hadithi inaandikwa katika nafsi gani?

a. Mtazamo wa Roho (katika fasihi, mtazamo wa kujua yote).

b. Mtazamo wa Nafsi ya Kwanza (mtu kusimulia hadithi yake mwenyewe: Nehemia).

c. Msimulizi wa Nafsi ya Tatu.

3

3. Hadithi imeandikwa katika “sauti” gani: “Sauti ni mtazamo kwa kila kitu kinachotazamwa” (John Leggett).

D. Tambua maendeleo ya msingi ya mtiririko (ploti) ndani ya hadithi.

1. Jaribu kuelezea maendeleo ya msingi ya hadithi (mwanzo, katikati, mwisho).

2. Kumbuka vipengele vya asili vya muundo wa ploti – John Leggett

a. Utangulizi (Doormat) – hadithi inajitambulishaje?

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker