Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

3 6 /

K U T A F S I R I B I B L I A

B. Biblia imeandikwa na waandishi wa kibinadamu.

1. Isaya, Isa. 1:1-2

2. Paulo, Gal. 1:1-5

3. Musa, Zab. 90:1-2

1

4. Daudi, Zab. 19:1

C. Maandiko pia yamevuviwa na Mungu .

1. “ Yamepuliziwa ” na Mungu mwenyewe, 2 Tim. 3:16-17.

2. Uandishi wake hauna tafsiri ya mtu binafsi, 2 Pet. 1:19-20.

3. Waandishi waliongozwa na Roho Mtakatifu, 2 Pet. 1:21.

D. Matokeo ya uvuvio wa kimungu wa maandiko

1. Kwa sababu maandiko yamevuviwa na Mungu, tunaamini kwamba hayana makosa yoyote kuhusiana na mafundisho yake au uthibitisho wa ukweli (fundisho la kutokuwa na makosa ).

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker