Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

/ 7 7

K U T A F S I R I B I B L I A

c. Wafilipi 4:8

d. 2 Wathesakinike 2:15

4. Namna ya kuhakiki kanuni iliyotengenezwa : ili kuhakiki ukweli wa mithali (kanuni) yako ni lazima upate mifano halisi ya maisha ambapo mithali yako ikitumika itathibitika kwa urahisi kuwa ya kweli.

E. Mfano: “Amri ya Upendo” na ile ya “Kupanda na Kuvuna”

2

1. Kumpenda Mungu na jirani ni jumla ya maagizo yote ya Mungu kuhusu maadili katika Agano la Kale.

a. Msingi wa maagizo yote ya Mungu ya kimaadili ni kumpenda Yeye kwa moyo wote, na kumpenda jirani kama nafsi yako, Mt. 22:36-40.

b. Upendo ni utimilifu wa sheria ya Mungu, Rum. 13:8-10.

2. Ni kweli na hakika kwamba “utavuna ulichopanda”, Gal. 6:7-8.

IV. Hatua ya Tatu: Tumia Kanuni katika maisha kwa Nguvu za Roho.

A. Sababu za kutumia Neno la Mungu maishani mwetu:

1. Tunapaswa kuwa watendaji wa Neno na si wasikiaji tu (yaani, wanafunzi) wa Neno, Yakobo 1:22-25.

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker