Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

8 0 /

K U T A F S I R I B I B L I A

2 Wakorintho 3:17 – Basi (Bwana) ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru.

1. Uhuru ndio dhamira kuu ya ukombozi wa Yesu.

a. Yohana 8:34-36

b. Warumi 6:18

c. Warumi 8:2

2

d. 2 Wakorintho 3:17

e. Wagalatia 4:26

f. Wagalatia 4:31

g. Wagalatia 5:13

h. 1 Petro 2:16

2. Kama watumwa wa haki chini ya ubwana wa Kristo, tuko huru kuonyesha utiifu wetu kwa Neno katika kila nyanja ya maisha yetu.

3. Ni lazima tukuze utayari wa kuwa wabunifu katika utii wetu chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu, 2 Kor. 3:17-18.

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker