Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
/ 9 7
K U T A F S I R I B I B L I A
D. Furahia kwamba kila tendo la kuitii kweli na amri za Mungu linafanyika katika mazingira ya uhuru.
1. Kanuni ya uhuru ndio msingi wa ufuasi wa Kikristo.
a. Warumi 7:6
b. 2 Wakorintho 3:17-18
c. Wagalatia 5:1
2
d. Wagalatia 5:13
e. 1 Petro 2:16
f. Yakobo 1:25
2. Epuka muelekeo wowote wa itikadi kali katika kulintendea kazi Neno, Kol. 2:20-23.
a. Jihadhari na utendaji wa namna ya mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo: hakuna utendaji halali wa Neno unaominya uhuru tulio nao katika Kristo wa kumtii kwa uhuru .
b. Utendaji utokanao na taratibu na sheria za wanadamu haufai wala hauwezi kabisa katika kushughulikia matatizo na tabia za mwilini.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker