Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 1 2 9
K U T A F S I R I B I B L I A
c. Imeundwa ili kukaririwa na kuwasilishwa kwa wengine.
d. Ina utajiri wa kishairi.
e. Haitafuti kusuluhisha utata wote na kujibu maswali yote.
f. Inathibitisha mipaka ya upeo wa kibinadamu katika kuelewa mambo ya mwisho.
g. Hufurahia mafumbo.
5. Inajumuisha kiasi kikubwa cha nyenzo na maandishi.
3
a. Vitendawili
b. Methali
c. Hekaya
d. Mafumbo
e. Istiari
f. Ushairi
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker