Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
1 2 8 /
K U T A F S I R I B I B L I A
d. Ni mgumu kufasiri kwa sababu ya umbali na tofauti za nyakati na matumizi ya lugha na taashira.
5. Hotuba ya kinabii hufunua maono ya Mungu ya kiadili na moyo wake.
6. Utabiri wa kinabii huonyesha nia na mapenzi ya Mungu kama mtawala wa historia.
E. Fasihi ya hekima – “familia ya tanzu za kifasihi zilizoenea katika Mashariki ya Karibu ya Kale ambapo ndani yake kuna ama maagizo ya kuishi kwa mafanikio au tafakuri juu ya unyeti na changamoto za maisha ya mwanadamu” (rej. New Bible Dictionary , uk. 1257-58).
1. Mithali – kauli fupi, zenye hisia zinazofupisha ufahamu wa pamoja juu ya mada maalum zenye hamasa ya kivitendo.
3
2. Monolojia au dayolojia – mawasiliano yaliyoundwa ili kuchunguza maana za maswali, matatizo na wasiwasi wa kina wa mwanadamu kuhusiana na Mungu na wanadamu.
3. Zaburi, Mithali, Ayubu, Mhubiri, na Wimbo Ulio Bora vinaunda maandiko ya hekima katika Agano la Kale.
4. Sifa za fasihi ya hekima
a. Ni thabiti katika sauti yake.
b. Ina uchambuzi wa kiuchunguzi.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker