Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

/ 1 3 1

K U T A F S I R I B I B L I A

8. Sifa za ushairi wa kibiblia

a. Taswira na Vitendo – mkazo unawekwa kwenye uhalisia na vitendo, sio udhahania (k.m., Zab. 1:1-3).

b. Usambamba – kurudia katika mstari wa pili yale yaliyosemwa katika mstari wa kwanza (k.m., Zab. 59:1).

c. Uimarishaji – ujumbe au mada fulani huimarishwa katika kila mstari na kirai (Zab. 55:6).

d. Utofautishaji – vinyume vilivyowekwa kimoja kando ya kingine (k.m., Zab. 1:6).

3

III. Kusudi – Kwa nini kuna tanzi tofuati za Biblia na kwa nini ni muhimu kujielimisha kuhusiana na tanzu za kibiblia?

A. Kutimiza hitaji mahusui (katika aina zote za fasihi hii ni ya kimuktadha au ya kimahususi). Kila sehemu ya Biblia iliandikwa katika muktadha mahususi ili kuzungumza na hadhira mahususi ambao walikuwa na mahitaji na masuala mahususi ambayo kifungu husika kilikusudiwa kushughulikia.

1. Kufahamisha : Warumi (nathari), Mithali (mithali au misemo), Matendo, kazi za kihistoria.

2. Kutunga sheria : Mambo ya Walawi, Kumbukumbu la Torati.

3. Kuonya : Vitabu vya kinabii.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker