Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
1 3 2 /
K U T A F S I R I B I B L I A
4. Kutia moyo : Shadraka, Meshaki, na Abednego (simulizi).
5. Kuburudisha : Daudi na Goliathi (simulizi); Hotuba ya Mlimani (mfano wa kibanzi na boriti).
6. Kuhoji : Mhubiri, Ayubu.
7. Kushawishi : Ufunuo wa Yohana Mtakatifu, Injili ya Yohana.
Maandiko katika mfumo wa simulizi na unabii yote kwa pamoja yana sifa zinazoyaruhusu kushughulika na mengi ya madhumuni yaliyotajwa hapo juu.
B. Kukuza uelewa wetu wa msingi wa maisha ya mwanadamu Biblia inazingatia kwa kina uzoefu na maswali ya msingi ambayo wanadamu huishi na kukutana nayo katika maisha yao yote .
3
1. Madhumuni ya kujifunza Biblia si tu kutafuta habari dhahania, bali kunalenga hisia, ushiriki, na mhemko.
2. Kutumia wahusika wa kibiblia kama vioo vya maisha ya kawaida wa mwanadamu.
3. Kunaturuhusu kukabiliana na maswali makubwa : sisi ni nani, tulitoka wapi, tunaelekea wapi, huwa tunaenda wapi tunapokufa, nk.
C. Kutuwezesha kupata picha ya uhalisia katika muundo wake halisi.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker