Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

/ 1 3 3

K U T A F S I R I B I B L I A

1. Elimu ya tanzu ni “onyesha na simulia”: kuonyesha kwa njia ya maneno uhalisia wa maisha ya mwanadamu.

2. Kuonyesha “namna maisha yalivyo” ndani ya hadithi na mafundisho ya wahusika wa Biblia.

3. Kutulazimisha kujitambua ndani ya ukweli huo.

4. Kuhusisha mawazo na hisia zetu tunapojifunza hadithi zao kama zetu.

5. Elimu juu ya tanzu inafunua mada tatu kuu:

3

a. Kipi hasa ni halisi ? (Dhana ya uhalisia wa maisha, “kama ilivyo”).

b. Kipi hasa ni cha haki au kiovu ? (Dhana ya mambo ya adili).

c. Kipi hasa kinafaa ? (Dhana ya thamani, maana, na kusudi).

D. Kuonyesha ustadi wa waandishi wa Biblia, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

1. Tanzu zina sifa ya fasihi iliyotengenezwa kimakusudi kwa miundo mbalimbali ili kuimarisha sanaa ya uandishi na matumizi ya lugha.

2. Uandishi wa tanzu = uzuri, ustadi, na mbinu.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker