Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
1 9 8 /
K U T A F S I R I B I B L I A
c. Vitu (Urimu na Thumimu, Hema ya kukutania, Nguzo, Dinari).
d. Mada na Dhana (Magonjwa, Dini za Kanaani, Lugha ya Agano la Kale, Sala, Ukamilifu, Uovu, Maombi, Sifa).
4. Kamusi za Biblia na ensaiklopidia pia hutoa taarifa muhimu ya usuli kuhusu vitabu mahususi vya Biblia (yaani tarehe, mwandishi, hadhira, madhumuni, n.k.).
5. Kamusi nyingi za Biblia hujaribu kuwa na maelezo mengi iwezekanavyo kuhusu kategoria tatu za kwanza.
6. Manufaa: Vifaa hivi hufunua hazina za historia za Biblia zenye manufaa na umuhimu kwa namna mbalimbali .
7. Tahadhari: kutegemea kupita kiasi maelezo yaliyomo ndani ya zana hizi kunaweza kufifisha jitihada za mtu kijihusisha kwa kina na maandiko yenyewe KWANZA .
4
8. Kamusi na ensaiklopidia za Biblia zinazopendekezwa:
a. New Bible Dictionary , 3rd edition. I. H. Marshall & others, eds. (InterVarsity Press, 1996)
b. Baker Encyclopedia of the Bible (2 volumes), Walter A. Elwell, ed. (Baker 1988)
c. International Standard Bible Encyclopedia (4 volumes), Geoffrey W. Bromiley, Gen. ed., Revised edition. (Eerdmans, 1979)
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker