Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

/ 1 9 9

K U T A F S I R I B I B L I A

B. Atlasi ya Biblia

1. Ufafanuzi: zinatumika kutafuta muktadha wa asili wa simulizi na matukio ya kibiblia, na kupata taarifa za usuli kuhusu maeneo na mikoa.

2. Atlasi za Biblia zinazopendekezwa:

a. The NIV Atlas of the Bible , Carl G. Rasmussen. (Zondervan, 1989)

b. The Macmillan Bible Atlas , Revised 3rd edition Yohanan Aharoni, Michael Avi-Yonah, A. Rainey and Z. Safrai. (Macmillan, 1993).

C. Vitabu vya rejea za kihistoria, kijamii na kitamaduni

4

1. Ufafanuzi: ni rejea ambazo hutoa ufahamu juu ya asili ya desturi fulani za kijamii, kitamaduni, na kidini au matukio ya kihistoria ambayo yanaweza kutoa mwanga mwingi juu ya maana ya matini katika muktadha wake .

2. Kumpa mtu mwaliko wa ghafla ambalo ni jambo la kawaida katika Amerika, na utayari wa kuukubali kirahisi lingetafsiriwa kama tendo la kukoseana heshima kabisa kule Mashariki. Katika Mashariki yule aliyealikwa lazima akatae kwanza, kimsingi anatarajiwa kuukataa mwaliko huo. Ni lazima asihiwe kukubali ( Manners and Customs of Bible Lands ).

3. Uelewa huu unawezaje kuathirije matazamo wetu juu ya maandiko yafuatayo?

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker