Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

2 0 0 /

K U T A F S I R I B I B L I A

a. Luka 14:23 BHN – Yule bwana akamwambia mtumishi: ‘Nenda katika barabara na vichochoro vya mji uwashurutishe watu kuingia ili nyumba yangu ijae’.

b. Matendo 16:15 BHN – Baada ya huyo mama pamoja na jamaa yake kubatizwa, alitualika akisema, “Kama kweli mmeona kwamba mimi namwamini Bwana, karibuni nyumbani kwangu mkakae.” Akatuhimiza twende.

4. Rejea zinazopendekezwa:

a. New Manners and Customs of Bible Times , Fred Wight and Ralph Gower. (Moody, 1987)

b. Life and Times of Jesus the Messiah , Alfred Edersheim. (Hendrickson, 1997)

4

c. Ancient Israel: Its Life and Institutions (Biblical Resource Series), by Roland De Vaux, David Noel Freedman, ed. (Eerdmans, 1997).

D. Nyenzo za kihistoria

1. Cities of the Biblical World , LaMoine F. DeVries. (Hendrickson, 1997)

2. Kwa Agano la Kale

a. Israel and the Nations: The History of Israel from the Exodus to the Fall of the Second Temple , David F. Payne and F. F. Bruce. (InterVarsity Press, 1998)

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker