Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 2 0 1
K U T A F S I R I B I B L I A
b. Old Testament Survey: The Message, Form, and Background of the Old Testament , William Sanford La Sor; David Allan Hubbard, and Frederick William Bush. (Grand Rapids: William B. Eerdmans Publishing, 1985)
3. Agano Jipya
a. New Testament History , F. F. Bruce. (Anchor, 1972)
b. Jerusalem in the Time of Jesus , Joachim Jeremias. (Fortress, 1979)
III. Vitabu vya miongozo ya Biblia, Biblia za kujifunzia, na miongozo ya taswira za kibiblia.
A. Vitabu vya miongozo ya Biblia
4
1. Ufafanuzi: Vitabu vya miongozo ya Biblia na Biblia za kujifunzia ni muhimu kwa kupata habari kuhusu mwandishi, tarehe, na mazingira ambamo kitabu kiliandikwa (Ulimwengu Wao).
2. Mfano: Halley’s Bible Handbook (Grand Rapids: Zondervan)
B. Biblia za Kujifunzia
1. Ufafanuzi: Bibilia za kujifunzia hutoa ufafanuzi wa muktadha wa ndani kutoka kwa msomi fulani au kikundi cha wafasiri wanaohusishwa na tafsiri fulani ya maandiko .
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker