Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
2 0 2 /
K U T A F S I R I B I B L I A
2. Urahisi: ufafanuzi juu ya maandiko muhimu unawekwa katika tanbihi au viambatisho vya tafsiri yenyewe .
3. Tahadhari: mtazamo uliomo ndani ya Biblia za kujifunzia unaonyesha uelewa wa maandiko na misimamo ya kitheolojia ya mtoa maoni mwenyewe.
4. Mifano
a. Harper Study Bible, New American Standard Bible . (Grand Rapids: Zondervan) (These can be obtained usually in various translations.)
b. Oxford Study Bible, Revised English Bible . (New York: Oxford University Press).
C. Miongozo ya taswira za Biblia
4
1. Ufafanuzi: zana hizi humsaidia mfasiri wa Biblia kutambua namna Biblia inavyokuza taswira, taashira, na wazo fulani, kwa kawaida katika Agano la Kale na Jipya, kwa kuzingatia kanuni za kifasihi na matumizi ya kiroho .
2. Zana hizi ni za thamani sana katika kuelewa ujumbe wa Biblia katika muundo na nahau ya waandishi wa Biblia (yaani, ulimwengu wa mashariki ya kale ni ulimwengu uliojaa taswira, taashira, sitiari, na hadithi).
3. Miongozo inayopendekezwa kwa habari ya taswira za Biblia:
a. Dictionary of Biblical Imagery , Leland Ryken and others. (InterVarsity Press, 1998)
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker