Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 2 0 3
K U T A F S I R I B I B L I A
b. A Dictionary of Bible Types , Walter L. Wilson. (Hendrickson, 1999)
IV. Vitabu vya ufafanuzi
A. Kusudi: Vitabu vya ufafanuzi ni visaidizi vya ufasiri ambavyo vinatupa ushuhuda, matokeo, na ufahamu wa kitabu fulani cha maandiko kutokana na mtazamo wa mchungaji fulani, mwanazuoni fulani, au mfasiri fulani wa Biblia .
1. Visaidizi vya ufasiri: vitabu vya ufafanuzi si mbadala wa ufasiri .
2. Vinatupa ushuhuda, matokeo, na ufahamu wa kitabu fulani cha maandiko: ufafanuzi ni uchambuzi wa maandiko kulingana na maarifa na uzoefu wa mtoa maoni.
3. kutokana na mtazamo wa mchungaji fulani, mwanazuoni fulani, au mfasiri fulani wa Biblia: Vitabu vya ufafanuzi ni mkusanyo wa maoni ya kitaalamu .
4
B. Aina za vitabu vya ufafanuzi
1. Vyenye juzuu moja dhidi au seti za juzuu nyingi: The New Bible Commentary ni ufafanuzi bora kabisa wenye juzuu moja.
2. Fafanuzi za ibada
a. Kusudi: kumsaidia mtu kusoma maandiko na kutembea na Mungu siku kwa siku .
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker