Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
2 0 4 /
K U T A F S I R I B I B L I A
b. William Barclay, Daily Study Bible Series (ni cha ibada sio ufafanuzi wa kisomi).
3. Fafanuzi za kimafundisho (theolojia).
a. Kusudi: kutoa ufafanuzi juu ya mafundisho makuu ya vitabu vya maandiko, kwa mtazamo wa kushughulika na theolojia katika utaratibu mahususi .
b. Fafanuzi za Calvin
c. Madhehebu na vikundi vinaweza kuwaagiza wasomi kutoka ndani ya mapokeo yao kutoa fasili yenye mamlaka kuhusu maandiko na misimamo yao ( Broadman’s Bible Commentary –Southern Baptist connection).
4
4. Fafanuzi za kieksejesia
a. Kusudi: Vitabu vya ufafanuzi vilivyoundwa ili kutoa taarifa muhimu juu ya lugha, historia, utamaduni na sarufi ya maandiko kwa madhumuni ya ufafanuzi mzuri .
b. The Tyndale Old Testament Commentaries, The Tyndale New Testament Commentaries, The New International Commentary of the New Testament.
c. Ni za kitaalamu zaidi, thabiti, ngumu kwa wale wanaoanza kujifunza maandiko.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker