Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 2 0 5
K U T A F S I R I B I B L I A
5. Fafanuzi za kihomiletiki (za mimbari).
a. Kusudi: kumpa mhubiri au mwalimu mwenye shughuli nyingi nyenzo za kuandaa na kutoa mahubiri na/au masomo ya Biblia kwa msingi wa maandiko .
b. Lawrence O. Richards, The Teacher’s Commentary , Matthew Henry’s Commentaries .
C. Matumizi ya vitabu vya ufafanuzi
1. Tahadhari
a. Vitabu vya ufafanuzi havipaswi kamwe kufanyika mbadala wa kusoma na kujifunza maandiko. Kamwe usianze safari ya kujifunza kwa kuanzia na vitabu vya ufafanuzi.
4
b. Elewa kwamba vitabu vya ufafanuzi vyote vinatokana na msimamo fulani, kulingana na mtazamo fulani.
c. Tumia fafanuzi za kieksejesia kama aina ya kwanza unapojishughulisha na utafiti wako mwenyewe.
d. Kamwe usichukue tathmini yoyote ya ufafanuzi kama ukweli bila kutafuta kujihakikishia kuhusu madai yake moja kwa moja kupitia maandiko, na mafundisho makuu ya Neno.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker