Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 2 6 3
K U T A F S I R I B I B L I A
Jedwali la Zana za Kujifunzia Biblia (muendelezo)
1. T umia konkodansi yako kutambua neno ambalo limetafsiriwa kama “kuhesabiwa haki” Katika msitari wa 2 na kisha andika neno hilo pamoja na namba yake ya Strong katika nafasi hii hapa chini: Neno la Kiyunani ______________ namba yake ya Strong ______________ 2. L itafute neno hili kwenye kamusi ya Vine’s expository Dictionary na usome ingizo [neno linalotangulia] la neno hili. Je taarifa hii inaongeza nini kwenye ufahamu wako wa neno hilo na kifungu husika cha Maandiko? __________________________________________________________ __________________________________________________________ 3. Tumia konkodansi yako kutambua neno lililotafsiriwa “tembea” Katika mstari wa 12 na kisha andika neno hilo na namba yake ya strong katika nafasi hii hapa chini. Neno la Kiyunani ______________ namba yake ya strong ______________ 4. L itafute neno hili katika kamusi ya Vine’s Expository Dictionary na usome neno la kuingilia. Kwanini unafikiri Mtume Paulo alichagua neno hili badala ya moja ya maneno mengine ya Kiyunani kwa kuonyesha neno kutembea? Je kujua ufafanuzi wa neno hili lililotumika kwa neno “tembea” Kunaongeza nini kwenye ufahamu wako wa kifungu hiki cha Maandiko? __________________________________________________________ __________________________________________________________ 5. K wa kutumia kamusi ya New Bible Dictionary , tafuta na usome andiko kuhusu “Ibrahimu.” Ni kwa njia gani hili linaongeza kina cha ufahamu wako wa kifungu cha Maandiko? __________________________________________________________ __________________________________________________________
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker