Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

/ 2 8 3

K U T A F S I R I B I B L I A

Orodha hakiki ya Vipengele vya Masimulizi (muendelezo)

D. Ni matukio gani ambayo yanatufanya sisi tusiwakubali wahusika?

V. Ni Maarifa gani Wahusika wanatupa Sisi kama “ Msisitizo katika maisha ”? A. Uhalisia: Nini mtazamo wa uhalisia ulioonyeshwa katika hadithi na muhusika? B. Maadili: Nini kinafanya kitu kionekane kizuri au kibaya katika muktadha wa hadithi hii? C. Thamani: Kitu gani ndio kinapewa umaana na uthamani zaidi katika hadithi? VI. Ni kwa Namna gani Hadithi Inajiunganisha yenyewe katika Sehemu Tofauti Tofauti? A. Ni kwa namna gani muunganiko wa hadithi unachangia umoja wa hadithi? B. Ni upi mtiririko wa matukio katika hadithi hii? (Mwanzo, katikati, na mwisho) C. Ni kwa namna gani hadithi inaisha na kutatua utata uliojitokezamwanzoni? VII. Kwa Namna gani Wahusika Wanajaribiwa na ni Uchaguzi gani wanaoufanya? A. Ni nini mtanziko/tatizo/ utata ambao muhusika mkuu anajaribu kuushinda? B. Ni ubora gani wa tabia unaopimwa kwa muhusika mkuu? C. Ni machaguo gani mbadala ya maisha ambayo yako wazi kwa wahusika katika hadithi? D. Ni maamuzi gani wahusika wanafanya, na ni nini matokeo ya maamuzi yao?

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker