Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
2 9 4 /
K U T A F S I R I B I B L I A
Funguo kwa Utafsiri wa Biblia (muendelezo)
Kuna saidia mahusiano yangu na wengine? • Hii inahusisha familia ya Kanisa, familia yangu binafsi, wafanyakazi wenzangu, marafiki zangu, majirani zangu, maadui zangu, wageni na maskini au wale wanaoonewa. Kuna nipa changamoto kwa yale ninayo yaamini, mtazamo wangu na matendo ambayo utamaduni wangu unaona ni kawaida? • Ni kwa namna gani namna ya kufikiri kwangu na kutenda kwangu lazima kuwe tofauti na wale walio katika ulimwengu unaonizunguka? D. Kuna jaribu kujibu maswali ya “natakiwa niamini nini?” na “natakiwa kufanya nini?” kwa sasa baada ya kuwa nimejifunza kifungu hiki cha Maandiko. • Je nahitaji kugeuka kutoka katika namna yangu ya kwanza ya kufikiri na kutenda? • Naweza kutendaje juu ya kweli hii ili niwe mtu mwenye busara?
E. Nawezaje kushirikishawengine kile nilichojifunza kwa njia ambayo itavuta umakini wao kwa Kristo na kuwajenga?
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker