Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 4 1
K U T A F S I R I B I B L I A
2. Je, tunaweza kufuatilia asili ya Biblia kuanzia kwenye matukio halisi jinsi yalivyotokea hadi kufikia kwenye maandiko yetu ya sasa katika lugha zetu za asili?
3. Uhakiki wa kisasa wa historia unalenga kufuatilia asili ya maandiko kuanzia na matukio ya asili hadi hadithi halisi na simulizi kuhusiana na matukio husika, hadi maandishi ya maandiko, na hatimaye tafsiri tulizo nazo leo .
1
a. Matukio asilia: matukio ya kimafunuo (k.m., tukio la Kristo).
b. Hadithi halisi na ripoti za matukio ( hadithi simulizi zilizosambazwa kabla ya uandishi wake ).
c. Maandiko ya Biblia ( mchakato wa uandishi halisi wa vitabu vyenyewe ).
d. Tafsiri (tafsiri zetu za sasa)
B. Mfano wa kibiblia wa uhakiki: Luka
1. Ushuhuda wa Luka, Luka 1:1-4.
a. Kukusanya simulizi za ukweli wa kihistoria.
b. Kulingana na maelezo ya mashahidi waaminio walioona kwa macho.
c. Maelezo yaliyoandikwa kwa utaratibu kwa Theofilo.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker