Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

4 0 /

K U T A F S I R I B I B L I A

3. Waandishi walijulikana na kuchaguliwa naMungu kabla, na kuongozwa katika uandishi wao wa maandiko (k.m., Yeremia, Yer. 1:5).

4. Majibu kuhusu Nadharia ya Uvuvio Kamili (Maneno yote).

a. Hujibu kwa uhakika suala la uandishi wa kibinadamu na wa kimungu.

1

b. Huzingatia ukamilifu wa maandishi, pamoja na maneno yaliyotumika.

c. Je, vipengele vya kibinadamu vyenye ukomo, vilivyofungamana na utamaduni vinawezaje kuelezewa kuwa Neno la Mungu lisilobadilika na la milele?

F. Masuala ya mwisho

1. Roho Mtakatifu aliwaongoza waandishi, 2 Pet. 1:20-21.

2. Kwa hiyo maandiko yote (matokeo ya kuongozwa) “yamevuviwa” na Mungu, 2 Tim. 3:16-17.

III. Uhakiki wa Biblia na Chimbuko la Biblia: Kutoka Tukio hadi Hadithi hadi Maandishi

A. Suala: mageuzi ya maandishi

1. Tuliipataje Biblia? Ni hatua gani zilipelekea uwepo wa tafsiri zetu za sasa za Biblia?

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker