Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 4 7
K U T A F S I R I B I B L I A
4. Nguvu: ufahamu thabiti wa masuala ya kihistoria ya andiko.
5. Udhaifu: mbali sana na uhalisia wa kihistoria.
L. Uhakiki wa Ufasiri: hutoa tafsiri iliyo wazi, inayoweza kusomeka kulingana na matini bora zaidi.
1. Unalenga kupata ufahamu wa lugha ya utamaduni pokezi pamoja na maana ya matini ili kupata tafsiri bora .
1
2. Huiona Biblia kama zao la ufasiri thabiti.
3. Una kiwango cha kati cha uthibitisho.
4. Nguvu: kutafuta toleo la Biblia katika lugha na mfumo wa fikra wa mtu mwenyewe.
5. Udhaifu: huakisi maoni yetu kuhusu maana ya andiko .
IV. Muhtasari wa Uhakiki wa Kisasa wa Biblia
A. Unafaa kwa kuelewa mutkadha na mazingira ya kihistoria na desturi za Biblia.
B. Ni muhimu katika kutoa ujuzi wa kina wa lugha za kibiblia.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker