Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

4 8 /

K U T A F S I R I B I B L I A

C. Unasaidia katika kujenga nadharia kuhusu njia ambazo Biblia yetu ilitufikia.

D. Matatizo ya kina:

1. Hufuata ukweli kutokana na uchunguzi wa kisayansi wa dini , si neno la Yesu na mitume.

1

2. Hutafuta kufasiri Biblia kulingana na mipaka ya kile wanachokiona kuwa cha maana na kinachowezekana.

3. Huwa na mwelekeo wa kudhoofisha hadhi ya Biblia kama ufunuo , na badala yake kuiona kama hifadhi ya kumbukumbu ya jamii ya waamini.

Neno Lake na Liwe Kweli, na kila mtu ahesabiwe kuwa mwongo! Isaya 40:8 - Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.

Hitimisho

» Neno la Mungu limevuviwa na Mungu, kwa kuwa waandishi waliongozwa na Roho Mtakatifu, hivyo maandiko waliyoyaandika ni maneno yenye pumzi ya Mungu Aliye Hai. » Na ingawa uhakiki wa kisasa wa Biblia unatoa msaada mwingi ili kutusaidia kuielewa Biblia, mashaka yake ya jumla juu ya uvuvio wa Biblia yanatutahadharisha kuwa waangalifu kuhusiana na matokeo ya uhakiki huo.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker