Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
8 8 /
K U T A F S I R I B I B L I A
2. Ulikuwa takriban maili 40 magharibi mwa Athene, Ugiriki.
3. Ulikuwa kituo kikuu cha kibiashara cha Dola ya Kirumi, chenye bandari 3.
4. Hekalu la Aphrodita , lililojengwa juu ya ardhi iliyoinuka, akrokorintho , lilihudhuriwa na makuhani 1,000 wa kikahaba (makahaba kweli kweli).
5. Kulikuwa na masuala mbalimbali ambayo yalihitaji kushughulikiwa katika kanisa.
2
a. Migawanyiko, 1 Kor. 1:10-4.21
b. Kashfa, 1 Kor. 5:1-6.20
c. Ndoa, 1 Kor. 7
d. Uhuru wa Mkristo, 1 Kor. 8:1-11.1
e. Mavazi ya wanawake, 1 Kor. 11:2-16
f. Meza ya Bwana, 1 Kor. 11:17-34
g. Karama za rohoni, 1 Kor. 12-14
h. Injili na ufufuo, 1 Kor. 15
i. Makusanyo kwa ajili ya watakatifu, 1 Kor. 16.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker