Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

9 6 /

K U T A F S I R I B I B L I A

3. Ufahamu huja kutokana na kufuatilia kwa bidii kweli na kuwa tayari kuitii.

a. Ezra 7:10

b. Zaburi 119:99-100

c. 2 Timotheo 3:14-17

d. Waebrania 5:14

2

4. Kutendea kazi andiko kunahusu kumsikiliza Bwana ili aweze kufunua kile kinachopaswa kujulikana ili kufanya kile ambacho lazima kifanyike , Zab. 139:23-24.

C. Tambua kwamba lengo la kutendea kazi Neno ni kufanana na Kristo na kuendeleza Ufalme wa Mungu.

1. Yesu na Ufalme wake ndio kiini cha mapokeo na ujumbe wa mitume, Mdo. 28:23, taz. Mdo. 28:31.

2. Tunapaswa kutafuta ufalme wa Mungu na haki yake zaidi ya mengine yote, Mt. 6:33.

3. Kutii amri za Kristo ni kiini cha ufuasi wa Kikristo, Mt. 7:24-27.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker