Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

114 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

a. Uchunguzi binafsi makini wa hali fulani.

b. Kutafakari na kupembua maana ya mambo hayo.

c. Kutengeneza kanuni (methali) ambayo inaweza kutumika katika mazingira tofauti lakini yanayohusiana.

4. Kanuni za jumla hutuwezesha kupata picha sahihi ya kile kitakachotokea ikiwa vigezo fulani vitatimizwa , na kupata hitimisho sahihi kutokana na ukweli unaokubalika na jamii ya wakristo kote ulimwenguni.

5. Kanuni hutupatia taswira kubwa inayohusu matukio mahususi , ikitupa ufahamu juu ya maisha ya mwanadamu kwa ujumla na ujuzi wa mambo ya kiroho kwa habari ya Mungu.

2

M A S O M O Y A B I B L I A

B. Kwa nini ni vigumu kupata kanuni za jumla kutoka kwenye maandiko?

1. Kuna taarifa nyingi, simulizi nyingi na maelezo mengi mno yanayohitaji kuchakatwa.

2. Kinyume chake: hakuna taarifa za kutosha za kuchakata!

3. Mazoea ya kusoma Biblia katika matazamo wa kibinafsi huzuia uwezo wetu wa kupata kanuni za jumla kwa usahihi.

4. Kanuni nyingi : kanuni nyingi hazijaandikwa kwa uwazi.

5. Inahitaji kazi na muda wa kulinganisha tulichokigundua katika usomaji wetu na Neno la Mungu ili kuona usahihi wake.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker