Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 2 | KUTAF S I R I B I B L I A : MB I NU YA HATUA TATU / 115

a. Mithali 8:17

b. Mathayo 7:7-8

c. Mithali 9:9

d. Mhubiri 7:25

C. Mtazamo unaohitajika: umakini , Mdo. 17:11

1. Jenga utayari wa kulichunguza Neno ili kupata kweli ambazo wakristo wote anakubaliana nazo ulimwenguni kote.

2

2. Epuka kukimbilia kwenye hitimisho lolote bila kulichunguza kwa kulilinganisha na maandiko.

M A S O M O Y A B I B L I A

3. Katika kujifunza kwako, jikikite katika kuomba kwa subira na kupembua maandiko ili kupata kanuni za Neno la Mungu.

D. Hatua za kugundua kanuni.

1. Unapojifunza Neno la Mungu, tarajia kupata hekima ya Mungu ya kivitendo, 2 Tim. 3:16.

2. Unapochambua vifungu vya maandiko, kuwa makini kuangalia miundo na kanuni zinazofanana katika kuyaangalia maandiko kwa upana, na uzingatie pia kutafuta muunganiko wa kifungu kimoja na maandiko mengine.

3. Usifanye haraka kutangaza mojawapo ya methali zako kama kanuni ya jumla: hakiki ulichokipata kwa kukilinganisha na Neno la Mungu katika upana wake.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker