Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

118 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

b. Luka 9:62

c. Luka 14:33

d. Luka 16:13

e. Luka 17:32

f. Wafilipi 2:21

g. 1 Timotheo 6:10

h. 1 Yohana 2:15-16

2

M A S O M O Y A B I B L I A

5. Tunajidanganya kirahisi kwamba: “kufahamu jambo ni sawa na kulifanya.”

C. Mtazamo unaohitajika: uhuru katika Kristo Wagalatia 5:1 – Katika ungwana huo Kristo alituandika huru; kwa hiyo simameni, wala msinaswe tena chini ya kongwa la utumwa. Warumi 7:6 – Bali sasa tumefunguliwa katika torati, tumeifia hali ile iliyotupinga, ili sisi tupate kutumika katika hali mpya ya roho, si katika hali ya zamani, ya andiko. 2 Wakorintho 3:17 – Basi (Bwana) ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru.

1. Uhuru ndio dhamira kuu ya ukombozi wa Yesu.

a. Yohana 8:34-36

b. Warumi 6:18

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker