Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | KUTAF S I R I B I B L I A : MB I NU YA HATUA TATU / 119
c. Warumi 8:2
d. 2 Wakorintho 3:17
e. Wagalatia 4:26
f. Wagalatia 4:31
g. Wagalatia 5:13
h. 1 Petro 2:16
2. Kama watumwa wa haki chini ya ubwana wa Kristo, tuko huru kuonyesha utiifu wetu kwa Neno katika kila nyanja ya maisha yetu.
2
M A S O M O Y A B I B L I A
3. Ni lazima tukuze utayari wa kuwa wabunifu katika utii wetu chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu, 2 Kor. 3:17-18.
4. Utayari wetu kwa sauti ya Bwana pale anapotuita kufanya mambo fulani siku kwa siku, Ebr. 3:7-8
D. Hatua za kutendea kazi Neno la Mungu:
1. Uwe mtu wa maombi na muwazi kwa Roho Mtakatifu .
2. Sikiliza moyo wako na umruhusu Mungu aseme, Ebr. 3:15.
3. Weka malengo yakinifu, yanayotekelezeka, Zab. 119:164.
4. Waombe washauri na walezi wako na washirika wenzako wakusaidie kuwajibika.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker