Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 3 | USHAHIDI WA AGANO LA KALE KUHUSU KRISTO NA UFALME WAKE: KUTOLEWA KWA AHADI / 157
uliokuwapo tayari, na alionyesha uhalisi wake katika uponyaji wake na kutoa pepo, akifunua kuwapo kwa Ufalme katika nafsi yake na huduma yake. Ni kweli, kuna uwezekano mkubwa kwamba kina cha huduma na uongozi wetu hakiwezi kwenda zaidi ya kina cha ujuzi wetu juu ya Yesu Kristo, Masihi wa Mungu na Bwana wa wote.
KWA UTAFITI ZAIDI
Tafadhali tazama nyenzo zifuatazo katika kitabu cha Theolojia katika Picha: Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI : • Tofauti ya Mtazamo wa Kiuchambuzi na Mtazamo Wenye Msingi wa Kristo katika Kusoma Agano la Kale , ukurasa wa 431 • Viwango vya Mamlaka Vinavyotolewa kwa Matokeo ya Matumizi ya Agano la Kale katika Msingi wa Kristo , ukurasa wa 522 • Majina, Vyeo, na Sifa za Masihi katika Agano la Kale , ukurasa wa 242 • Ushahidi wa Agano la Kale kwa habari ya Kristo na Ufalme wake , ukurasa wa 485 • Tofauti ya Ahadi na Utabiri , ukurasa wa 430
3
M A S O M O Y A B I B L I A
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker