Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

178 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

KWA UTAFITI ZAIDI

Tafadhali tazama nyenzo zifuatazo katika kitabu cha Theolojia katika Picha: Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI : • Mambo ya Jumla Kuhusu Agano Jipya , ukurasa wa 245 • Maisha ya Kristo Kulingana na Majira na Miaka , ukurasa wa 236 • Miujiza ya Yesu , ukurasa wa 295 • Taswira za Yesu katika Vitabu vya Agano Jipya , ukurasa wa 405 • Masihi Yeshua katika Kila Kitabu cha Biblia , ukurasa wa 263

4

M A S O M O Y A B I B L I A

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker