Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
206 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
1. Fundisho la Utatu linatokana na jaribio la kuchukulia Biblia kwa uzito katika mafundisho yake kuhusu asili ya Mungu.
2. Kiini cha hoja ya Utatu: Maandiko yanaamuru ufahamu wa utatu wa Mungu.
a. Kwanza, Biblia inasisitiza kuwa kuna Mungu mmoja tu.
b. Kadhalika, Biblia pia inazungumza juu ya nafsi tatu tofauti katika Uungu Mtakatifu, zinazoshiriki mamlaka moja, kiini kimoja na asili moja.
c. Kwa hiyo, Mungu ni lazima awe Mungu katika Utatu.
2
3. Madokezo ya Msingi
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
a. Ingawa neno “Utatu” halimo katika Maandiko, kimsingi ni fundisho la kibiblia, au tuseme, jaribio la kuchukulia Biblia kwa uzito.
b. Utatu haueleweki (ni zaidi ya uwezo wetu wa kuelewa).
c. Utatu unapaswa kuchochea kicho, unyenyekevu, na ibada.
B. Mungu ni Mungu mmoja
1. Dekalojia (amri kumi), Kut. 20:1-6
a. Bwana Mungu ndiye Mungu mmoja wa kweli. Hakuna miungu mingine inayopaswa kupokea ibada na heshima yake.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker