Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

208 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

g. Flp. 2:11

2. Mwana anazungumziwa na kutajwa kama Mungu.

a. Flp. 2:5-11

b. Yoh. 1:1-18

c. Ebr. 1:1-12

d. Yoh. 8:58

3. Roho Mtakatifu anazungumziwa na kutajwa kama Mungu.

2

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

a. Mdo. 5:3-4

b. Yoh. 16:8-11

c. 1 Kor. 12:4-11

d. Mt. 28:19

e. 2 Kor. 13:14

4. Na hata hivyo, hakuna Miungu mitatu, bali Mungu mmoja mbarikiwa, Mungu, Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.

D. Ushahidi wa Kibiblia wa kumtazama Mungu kama Mungu mmoja katika nafsi tatu

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker