Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | MUNGU BABA : MUNGU KAT I KA UTATU – UKUU WA MUNGU / 209
1. Washiriki wote tofauti wa Utatu wana sifa zinazofanana.
a. Umilele
(1) Rum. 16:26 (2) Ufu. 22:12 (3) Ebr. 9:14
b. Utakatifu
(1) Ufu. 4:8 (2) Ufu. 15:4 (3) Mdo. 3:14
c. Kweli
2
(1) Yoh. 7:28 (2) Yoh. 17:3 (3) Ufu. 3:7
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
d. Uwepo wao kila mahali (1) Yer. 23:24 (2) Efe. 1:23 (3) Zab. 139:7
e. Uweza juu ya yote
(1) Mwa. 17:1 na Ufu. 1:8 (2) Rum. 15:19 (3) Yer. 32:17
f. Kujua yote
(1) Mdo 15:18 (2) Yoh. 21:17
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker