Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 2 | MUNGU BABA : MUNGU KAT I KA UTATU – UKUU WA MUNGU / 211

3. Ushahidi wa Agano la Kale kuhusu wingi wa Mungu

a. Muundo wa wingi wa jina la Mungu: Elohim (rej. Mwa. 1:26 na Isa. 6:8)

b. Kujitaja kwa Mungu mwenyewe katika uumbaji wa mwanadamu kwa sura na mfano wake (Imago Dei) Mwa. 1:27 na 2:24.

4. Kanuni za Utatu (majina ya wingi ya Bwana kama utatu katika Agano Jipya)

a. Ubatizo wa Yesu, Mt. 3:16-17

2

b. Agizo Kuu, Mt. 28:19

c. Tamko la baraka katika Wakorintho, 2 Kor. 13:14.

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

5. Kauli ya Yesu kuwa Yeye na Baba ni umoja

a. Yohana anasisitiza kwamba Yesu ni Neno, akiwa pamoja na Mungu, ambaye ni Mungu, na kutoa ufunuo wa Mungu, Yohana 1:1-18.

b. Yesu na Baba ni umoja, Yohana 10:30.

c. Aliyemwona Yesu amemwona Baba, Yohana 14:9.

d. Yesu alishiriki utukufu wa kwanza pamoja na Baba kabla ya kujivua utukufu kwa ajili ya wokovu wetu, rej. Yoh. 17:21 na Flp 2:6-8.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker