Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 3 | MUNGU MWANA : YE SU, MAS I H I NA BWANA WA WOT E – AL I KUFA / 235
a. Mwana-Kondoo wa Pasaka wa simulizi ya Kutoka (Kut. 12) ambapo maisha ya dhabihu isiyo na hatia yanafanyika mbadala (mahali pa, badala ya) wa maisha mengine, taz. Kut. 12:11-13.
b. Dhabihu ya Isaka, ambapo badala ya Isaka kondoo dume alifayika mbadala wa Isaka (Mwa. 22:13).
3. Kwa njia ya kifo chake, Yesu anakuwa Mwana-Kondoo wetu wa Pasaka, ambaye mwili wake unabeba na kuchukua adhabu kwa sababu ya uasi, uovu na makossa yetu, ( Christus Victum : Kristo, Mwathirika kwa ajili yetu).
a. 1 Wakorintho 5:7
b. 1 Petro 1:19-20
c. Ufunuo 5:12
3
D. Yesu alikufa ili kumharibu shetani na kuharibu kazi yake .
Mungu alikuwa ametabiri kwamba uzao huu utatoka kwa mwanamke, na kwamba angekanyaga kichwa cha shetani. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.553. Ibid. uk. 594.
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Zaburi 68:18
b. Mathayo 12:29
c. Yohana 12:31-33
d. Warumi 14:7-9
e. Wakolosai 2:15
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker