Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

234 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

3. Kupitia kifo chake, Yesu anakuwa upatanisho wetu, yeye mwenyewe katika kifo chake anakuwa dhabihu kamilifu na itoshayo kwa ajili ya upatanisho.

a. Warumi 5:9

b. 1 Yohana 2:2

c. 1 Yohana 4:10

C. Yesu alikufa kama dhabihu mbadala (Pasaka yetu) .

Kwa sababu ya upendo aliokuwa nao kwetu, Yesu Kristo Bwana wetu alitoa damu yake kwa ajili yetu kwa mapenzi ya Mungu. Alitoa mwili wake kwa ajili ya miili yetu, na nafsi yake kwa ajili ya nafsi zetu. ~ Klementi wa Roma (c. 96, W), 1.18. Ibid. uk. 42.

1. Ushahidi wa kibiblia

a. Isaya 53:5-6

3

b. Warumi 8:3

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

c. 2 Wakorintho 5:21

d. Wagalatia 3:13

e. Waefeso 5:2

f. Waebrani 10:12-14

g. 1 Petro 2:24

h. 1 Petro 3:18

2. Picha

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker