Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 3 | MUNGU MWANA : YE SU, MAS I H I NA BWANA WA WOT E – AL I KUFA / 233
B. Yesu alikufa kama upatanisho wa dhambi zetu .
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Warumi 3:25-26
b. Waebrani 2:17
c. Waebrania 9:5
d. 1 Yohana 2:2
2. Picha: Sanduku la Agano, ambalo liliitwa upatanisho (“Kiti cha Rehema”)
a. Kutoka 25:17-22 (rej. Ebr. 9:5)
3
b. Walawi 16:15
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
c. Uasi wa dhambi unafunikwa na kusamehewa kwa sababu upatanisho umetoa njia ambayo Mungu mwenye haki anaweza kumsamehe mkosaji kwa haki.
d. Upatanisho ulithibitisha hasira ya haki ya Mungu dhidi ya dhambi, ulifunika dhambi ya mkosaji, na kumruhusu Mungu kuwa na huruma kwa mtenda dhambi aliyetubu.
e. Upatanisho humruhusu Mungu kuthibitisha utakatifu wake usio na kikomo na wakati huo huo, kumsamehe mdhambi mwenye hatia: haki yake haiathiriwi katika kuonyesha rehema.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker