Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
232 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
II. Maana ya Kifo cha Yesu
Haiwezekani kufundisha juu ya Baba isipokuwa kwa njia ya Mwanawe Yesu Kristo. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.542. Ibid . uk. 574.
A. Yesu alikufa kama fidia kwa ajili ya wengi .
1. Ushahidi wa kibiblia
a. Mathayo 20:28
b. Wagalatia 3:13
c. 1 Timotheo 2:5-6
d. 1 Petro 1:18
2. Picha: roho zilizopotea kama katika soko la watumwa, zimefungwa, zinaishi kwa kutawaliwa na kunyanyaswa, zimefungwa utumwani.
3
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
a. Ezekieli 18:4
b. Warumi 7:14
3. Kupitia kifo chake, Yesu huwakomboa wafungwa kutoka katika udhalimu wa shetani na dhambi, hutununua kwa damu yake mwenyewe na anakuwa Mmiliki wetu mpya na Bwana.
Kwa kumwamini utaishi. Lakini kwa kukufuru utaadhibiwa. Kwa maana “asiyemtii Mwana hatapata uzima.” ~ Katiba za Kitume (zilizokusanywa c. 390, E), 7.449. Ibid. uk. 575.
a. 1 Wakorintho 7:23
b. Waebrani 9:12
c. Ufunuo 5:9
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker