Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 3 | MUNGU MWANA : YE SU, MAS I H I NA BWANA WA WOT E – AL I KUFA / 231
g. Wagalatia 5:24
h. 2 Wakorintho 4:8-10
2. Ni muhimu sana kwa namna kinavyotawala katika Maandiko Matakatifu kwa kina na ukuu wa ajabu .
a. Yesu alisema kwamba kifo chake kilikuwa kiini cha ujumbe wa Agano la Kale. (1) Luka 24:27 (2) Luka 24:44-45
b. Kifo chake kilikuwa kati ya mada kuu zilizofanyiwa utafiti mwingi na manabii wa Agano la Kale, 1 Pet. 1:10-12.
3. Ni muhimu kama sababu ya wazi ya Umwilisho wake .
3
a. Waebrania 2:14-15
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
b. 1 Yohana 3:5
c. Mathayo 20:28
4. Ni muhimu kwa kuwa kinaonekana kuwa mada yenye nguvu kubwa sana mbinguni .
a. Luka 9:30-31
b. Ufunuo 5:8-12
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker