Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
230 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
(2) Aliletwa hekaluni kwa ajili ya wakati wa utakaso wa mama yake (Luka 2:22-39). (3) Alitimiza andiko na roho ya Sheria katika nafsi yake mwenyewe (Mt. 5:17-18).
b. Alisalimisha matumizi huru ya sifa zake za kiungu. (1) Alimtegemea Baba yake kwa namna zote (Yoh. 5:19-20). (2) Alitii amri ya Baba kwa dhati na kwa moyo wote katika kila jambo.
(a) Yohana 5:30 (b) Yohana 8:28 (c) Yohana 12:49 (d) Yohana 14:10
B. Kunyenyekezwa katika kifo chake: umuhimu wa kifo cha Yesu
3
1. Ni muhimu kama fundisho kuu katika ushuhuda wa kitume na maisha ya kiroho .
Kristo anaitwa Kondoo na
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
Mwana-Kondoo ambaye alipaswa kuchinjwa.... Kristo pia anaitwa Jiwe.... Yeye Mwenyewe ni Hakimu na Mfalme. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.521-5.527. Ibid . uk. 370.
a. 1 Wakorintho 15:3-8
b. Wagalatia 6:14
c. Warumi 1:16
d. 1 Wakorintho 1:22-24
e. 1 Wakorintho 2:2
f. Wagalatia 2:20
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker