Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 3 | MUNGU MWANA : YE SU, MAS I H I NA BWANA WA WOT E – AL I KUFA / 229

A. Kunyenyekezwa katika Umwilisho: Yesu Kristo kujifanya kuwa hana utufu

1. Aliacha kule kuwa kwake sawa na Mungu.

a. Kukubali kuondoka katika uwepo wa Baba na Roho.

b. Aina ya roho na utukufu usio na kikomo.

2. Alijifanya si kitu na kuchukua namna ya mtumwa (kwa mfano wa mwanadamu).

a. Alizaliwa na mwanamke katika mazingira duni sana.

b. Alilelewa katika mazingira ya kutokujulikana (kwa muda mrefu wa maisha yake hakuna aliyejua yeye ni nani).

3

c. Aliyatiisha mapenzi yake kwa Baba bila kikomo. (1) Yohana 4:34 (2) Yohana 6:38 (3) Mathayo 26:39.

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

3. Kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti ya msalaba.

Msalaba ulikusudiwa kuonyesha neema kupitia herufi “T.” ~ Barnaba (c. 70-130, E), 1.143. Ibid . uk. 96.

a. Alizaliwa na kuishi chini ya sheria. (1) Alitahiriwa. (a) Mwanzo 17:12

(b) Lawi 12:3 (c) Luka 2:21

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker