Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 4 | MUNGU ROHO MTAKAT I FU : NAF S I YA ROHO MTAKAT I FU / 261
KWA UTAFITI ZAIDI
Tafadhali tazama nyenzo zifuatazo katika kitabu cha Theolojia katika Picha: Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI : • Maeneo Ambayo Wakristo Wanatofautiana Kuhusiana na Karama za Rohoni , ukurasa wa 230 • Karama za Rohoni Zinazotajwa Kimahususi katika Agano Jipya , ukurasa wa 89 • Mt. Basili, Kanuni ya Imani ya Nikea, na Fundisho la Roho Mtakatifu , ukurasa wa 300 • Baadhi ya Njia Ambazo Wakristo Hawakubaliani kuhusu Utakaso , ukurasa wa 6 • Kazi ya Roho Mtakatifu katika Uongozi wa Kiroho , ukurasa wa 91
4
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker