Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

260 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

KAZI

Warumi 8:15-17

Kukariri Maandiko

Ili kujiandaa kwa ajili ya kipindi, tafadhali tembelea www.tumi.org/ books kupata kazi ya usomaji ya wiki ijayo, au muulize Mkufunzi wako.

Kazi ya Usomaji

Wakati huu ni muhimu uwe umeainisha na kuthibitisha mapendekezo yako kuhusu kazi yako ya huduma kwa vitendo, na iwe imepitishwa na mkufunzi wako. Hakikisha kwamba unapanga shughuli zako mapema, ili usichelewe kukabidhi kazi zako.

Kazi Zingine Ukurasa wa 134  16

Katika somo letu linalofuata, Theolojia ya Kanisa: Kanisa katika Ibada , tutazingatia wokovu kama msingi wa ibada ya Kanisa. Tutaona kwamba wokovu unakuja kwa neema ya Mungu pekee na kwamba wanadamu hawawezi kuupata kwa kuutendea kazi au kuustahili. Kuabudu, kwa hiyo, ni mwitikio sahihi kwa neema ya Mungu. Bila shaka, Kanisa la Yesu Kristo ni wakala wa Mungu kwa ajili ya Ufalme wake, na watu wa uwepo kwake. Kujifunza kwako maudhui haya na Neno la Mungu kuzae ndani yako upendo wa kina na kujitoa kwa ajili ya kuishi kwa ajili ya Mungu na kuwajenga wake watakatifu, Kanisa!

Kuelekea Somo Linalofuata

4

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker