Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 1 | THEOLOJ I A YA KAN I SA : KAN I SA KAT I KA I BADA / 293

Katika somo letu linalofuata, Misingi ya Uongozi wa Kikristo: Kiongozi wa Kikristo kama Mchungaji , tutajadili mamlaka ya kichungaji, na kuangalia vielelezo na mifano mitatu ya kibiblia ya huduma ya kichungaji: ile ya mlezi, mlinzi na msimamizi, na kiongozi wa kundi la Mungu. Ni vigumu kuiwaza zawadi nzuri zaidi kwa kusanyiko au kikundi cha makusanyiko zaidi ya uongozi wa kimungu, ulio kama wa Kristo, wachungaji wa kweli wanaosimamia na kulinda kundi la Mungu. Mungu na atumie somo hili kukuhamasisha kulea na kuwatunza watu wake, kumwiga Mchungaji Mwema aliyetoa uhai wake kwa ajili ya kondoo zake. Tafadhali tazama nyenzo zifuatazo katika kitabu cha Theolojia katika Picha: Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI : • Wokovu Kama Kujiunga na Watu wa Mungu , ukurasa wa 532 • Kuna Mto , ukurasa wa 139 • Theolojia ya Kanisa , ukurasa wa 407 • Meza ya Bwanna: Mitazamo Minne , ukurasa wa 281 • Christus victor: Maono Jumuishi kwa Maisha ya Mkristo na Ushuhuda , ukurasa wa 26

Kuelekea Somo Linalofuata

KWA UTAFITI ZAIDI

1

H U D U M A Y A K I K R I S T O

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker