Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 2 | MI S I NG I YA UONGOZ I WA K I KR I S TO : K I ONGOZ I WA K I KR I S TO KAMA MCHUNGA J I / 295

Misingi ya Uongozi wa Kikristo Kiongozi wa Kikristo kama Mchungaji – Poimenes

S OMO L A 2

Ukurasa wa 151  1

Karibu katika Jina lenye nguvu la Yesu Kristo! Baada ya kusoma kwako, kujifunza, majadiliano, na matumizi ya maudhui ya somo hili, utakuwa na uwezo wa: • Kuelezea vielelezo vitatu vya kibiblia na mifano ya kile anachofanya mchungaji katika uhusiano na kundi la Mungu, yaani, mchungaji kama mlezi, mlinzi na msimamizi, na kama kiongozi wa kundi la Mungu. • Kutoa ushahidi wa hatari mahususi na manufaa ya kutimiza jukumu la uchungaji mijini, pamoja na njia mahususi ambazo tunaweza kuzitumia ili kuwaandaa wachungaji wa mijini kwa ajili ya wajibu wao muhimu. • Kujadili baadhi ya kanuni muhimu zaidi katika utekelezaji wa uchungaji wa kusanyiko la mijini, pamoja na ahadi nzuri zinazohusishwa na uchungaji wa kundi la Mungu. Kazi Isiyo ya Kawaida Yn. 10:10-18 – Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. 11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. 12 Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya. 13 Yule hukimbia kwa kuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu kwake. 14 Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi; 15 kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo. 16 Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja. 17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. 18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu. Yesu alitumia mifano na taswira zilizo wazi ili kuwasilisha uelewa wake kuhusu namna ya kuwatunza watu wake, na mojawapo ya

Malengo ya Somo

2

H U D U M A Y A K I K R I S T O

Ibada Ukurasa wa 152  2

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker