Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | MI S I NG I YA UONGOZ I WA K I KR I S TO : K I ONGOZ I WA K I KR I S TO KAMA MCHUNGA J I / 309
C. Sisitiza viwango na vigezo vya kibiblia (yaani, Neno la Mungu linatosha kumwandaa mtu wa Mungu kwa ajili ya kila kazi njema), 2 Tim. 3:15-17.
1. Halishindwi kamwe, Isa. 55:8-11.
2. Hulea nafsi na roho, 1 Pet. 2:2.
3. Linapelekea kwenye ukomavu, Ebr. 5:11-14.
D. Fafanua upya uchungaji katika msingi wa kutunza, kulea, na kuchunga wana-kondoo, na sio kusimamia shirika.
E. Kuwa na njia na mbinu za mafunzo zinazofaa kwa wanafunzi wa mijini.
2
1. Kuwa hali zote kwa watu wote ili kuwaokoa na kuwajenga, 1 Kor. 9:19-23.
H U D U M A Y A K I K R I S T O
2. Sisitiza uhuru wako katika Kristo kwa ajili ya kuwapenda wengine.
a. Gal. 5:1
b. Gal. 5:13
3. Wajenge waamiini katika Kristo, si katika lundo la mapokeo ya Kikristo, Kol. 2:6-10.
F. Weka mkazo katika kusaidia kuzidisha huduma kwa kuwakamilisha watakatifu, Efe. 4:11-16.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker