Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
308 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
c. Kuzingatia mambo ya lazima: mtu kuutoa uhai kwa ajili ya kondoo Yn. 10:11
6. Kutanguliza wito na karama kabla ya sifa na elimu.
a. Mungu amewainua wachungaji kwa ajili ya Mwili wa Kristo, Efe. 4:11-12.
b. Wito mmoja wa kweli wa Mungu una thamani zaidi ya teuzi 10,000 za wanadamu, Rum. 11:29.
III. Kanuni na Utekelezaji wa Huduma ya Kichungaji
Usimpokee mgeni yeyote – awe askofu, mkuu wa kanisa, au shemasi – bila barua za uthibitisho. Na zikitolewa, zichunguzwe. ~ Katiba za Kitume (zilizokusanywa mwaka 390, E), 7.502. Ibid. uk. 156.
A. Tambua umuhimu wa ofisi ya uchungaji.
2
H U D U M A Y A K I K R I S T O
1. Mchungaji asipokuwepo, kondoo watatawanyika na kuliwa Yn. 10:10-13.
2. Mchungaji asipokuwepo, wanyama wakali watakula kondoo, 1 Pet. 5:8-9.
3. Bila mchungaji, hakuna kundi kabisa!
B. Waingize watenda kazi katika huduma ya kichungaji.
1. Tafuta upendo wao kwa Yesu Kristo Yn. 21:16.
2. Tafuta shauku yao kwa ajili kukua kwa kanisa lenye afya, Kol. 1:25-28.
3. Tafuta shauku yao ya kuwakamilisha wengine kwa ajili ya huduma, Efe. 4:11-12.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker